PDF4PRO ⚡AMP

Modern search engine that looking for books and documents around the web

Example: biology

TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU …

jamhuri YA muungano WA tanzania . wizara YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA. Simu 022-2120412/2120403/2120417 Faksi: 022-2113271, Tovuti: TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA ASTASHAHADA NA. STASHAHADA KWA VYUO VYA SERIKALI NA VISIVYO VYA SERIKALI KWA MWAKA WA. MASOMO 2017/2018. UTANGULIZI. Moja ya mikakati ya wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika kuandaa walimu ni kuhakikisha kuwa wanaojiunga na MAFUNZO ya UALIMU ngazi ya Astashahada na Stashahada ni wenye sifa stahiki. Kwa kuzingatia hilo, waombaji wa MAFUNZO haya ni wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu katika mtihani wa kuhitimu kidato cha NNE (kwa waombaji wa Astashahada). na SITA (kwa stashahada). Aidha, kutokana na upungufu mkubwa wa walimu wa Sayansi na Hisabati, kipaumbele kitatolewa kwa waombaji waliofaulu masomo haya. wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasiza MAFUNZO ya UALIMU ngazi ya Astashahada naStashahada kwa mwaka wa masomo 2017/2018. Masomo yataanza mwezi Septemba, 2017.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Simu 022-2120412/2120403/2120417 Faksi: 022-2113271, Tovuti: www.moe.go.tz

Tags:

  Tanzania, Jamhuri, Muungano, Wizara, Jamhuri ya muungano wa tanzania wizara ya

Information

Domain:

Source:

Link to this page:

Please notify us if you found a problem with this document:

Spam in document Broken preview Other abuse

Transcription of TANGAZO KUHUSU NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU …

Related search queries