Transcription of TUME YA UTUMISHI WA UMMA IDARA YA UTUMISHI WA …
1 1 TUME YA UTUMISHI WA UMMA IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU (TSD) WAJIBU MKUU WA MWALIMU Wajibu mkuu wa mwalimu ambao ndio Nguzo Tano za kazi ya ualimu ni:- MTOTO JUMUIYA KAZI YAKE TAIFA MTOTO Nguzo hii inamtaka mwalimu akubali kwamba wajibu wake mkuu ni kwa mtoto ambaye amekabidhiwa kumleana kwamba kwa wakati wote anatakiwa kumwongoza kwa kumkuza na kumwendeleza kimwili, kiakili na kiroho. JUMUIYA nguzo hii inamtaka mwalimu kuijua jumuiya ambamo anaishi na kufanyia kazi na kutii mamlaka halali na tabia yake mwenyewe kuwa mfano bora kwa wanajumuiya. 3 KWA MWAJIRI WAKE Nguzo hii inamtaka mwalimu kumtumikia mwajiri wake kwa utii na kwa uaminifu kwa mujibu wa masharti ya kazi ya ualimu KAZI YAKE YA UALIMU Nguzo hii inamtaka Mwalimu kufuata kwa wakati wote na kwahali ya juu kabisa Maadili mema ya kazi ya ualimupamoja na:- kufanya kazi kwa bidii na kwa kufuata utaratibu Kuwa mfano mzuri katika tabia wakati wote kwa watoto waliochini ya ulinzi wake na hata watoto wengine katika jamii.
2 /kujaribu kila wakati kuinua kiwango cha utendaji nauwezo wa kufanya kazi /kutotumia vibaya haki zinazoambatana na UTUMISHI wa umma. TAIFA LAKE Nguzo hii inamtaka mwalimu kuwa mzalendo na raia mwema na mtii wa sheria za nchi na mwelekezaji wa watoto kuwa wazalendo safi na raia wema wa baadae kwa kuzingatia wajibu wa mwalimu kwa kazi yake ya ualimu Mwalimu anategemewa kuwa na tabia na mwenendo mzuri wa kufaa kuigwa na kustahili kupewa heshima na kuaminiwa na jumuia,wazazina wanafunzi. Mwalimu yeyote anayekwenda kinyume na maadili na masharti ya kazi ya ualimu anakuwa 2 nimtovu wa nidhamu. haki ZA MWALIMU LIKIZO YA MWAKA(Annual leave) Kwa mujibu wa kanuni za kudumu za watumishi wa umma 2009 kifungu (ii)kikisomwa pamoja na kanuni za UTUMISHI wa umma,2003 kifungu cha97(i)mtumishi wa umma anayostahili yaya kupewa likizo siku 28 kila kifungu cha 97 (ii) kinaeleza kuwa likizo ni haki ya mtumishi.
3 Inapokuwa haitolewina mwajiri kwasababu mbalimbali basi mwajiri atawajibika kumlipa mtumishi mshahara wake wa hatopewa likizo ya mwaka hadi amefikisha miezi 8 tangu kuajiliwa rasmi(kanuni :za 2003).Mtumishi atapewa usafiri wa likizo mara moja ndani ya mzunguko wa miaka miwili yeye, mkewe na watoto wane chini ya umri wa miaka 18 au wategemezi,kanuni (5). LIKIZO YA UZAZI (Maternity leave). Kifungu (1),2003 Mtumishi wa kike atapewa likizo ya uzazi siku 84 mara moja kila baada ya miaka (3) kumaliza likizo yake,akijifungua mapacha atastahili likizo ya siku 100, kwa mujibu wa ,2008,47(1) Kifungu 98 (2 ) Mtumishi anapojifungua kwa bahati mbaya mtoto akafariki kabla ya miezi 12 mimba atastahili likizo ya uzazi siku 84. Kifungua Na.
4 98 (3). Mtumishi aliyejifungua astastahili muda wa saa mbili kwenda kunyonyesha hadi kipindi cha miezi sita (6). Mtumishi wa Kiume, mkewe akijifungua atapewa likizo ya siku tatu. ( 48) LIKIZO BILA MALIPO. Kifungu (1) cha kanuni za UTUMISHI wa umma Mkuu ofisi ya Rais Menejimenti ya UTUMISHI wa Umma anaweza kutoa likizo bila malipo kama ataridhika na sababu za maombi ya likizo hivyo maombi hayo ni lazima yapitie kwa Mwajiri kanuni 99(2). LIKIZO YA UGONJWA. Kifungu (1) cha ushauri wa Daktari,Mamlaka ya ajira inaweza kutoa likizo ya hutolewa miezi sita na mshahara kamili na miezi sita mingine kwa nusu mshahara. SABATICAL LEAVE. Kifungu 101 (1) Likizo hii hutolewa kwa mwajiri ili kukamilisha au kuimarisha hii ni lazima iindhinishwe na katibu Mkuu Menejimenti ya UTUMISHI wa hii hupewa Mtumishi si zaidi ya miezi 12 na hutolewa baada ya Mtumishi kufanya kazi mfululizo miaka mitano,Kanuni (4).
5 3 LIKIZO YA KUSTAAFU.(Leave pending retirement) Kanuni Na 102 za 2003,Mtumishi wa Umma atastahili kuomba likizo ya kujiandaa kustaafu mwezi mmoja kabla ya tarehe rasmi ya kustaafu kupewa usafiri wa kumrejesha kwao yeye na familia yake pamoja na mizigo sio chini ya tani tatu kulingana na daraja lake. MATIBABU KWA WATUMISHI WA UMMA Kifungu .K.(i) za kanuni za kudumu 2009 ikisomwa pamoja na kifungu cha 105 cha kanuni za UTUMISHI wa umma Mtumishi anastahili kupata matibabu bure. Hata hivyo kuna utaratibu wa bima ya afya. Mtumishi akilazimika kusafiri kwenda Hospitali ya Rufaa mwajiri atahusika kugharamia posho ya kujikimu na nauli. Vitu muhimu. Barua ya rufaa. Barua ya ruhusa tota kwa mwajiri Fomu Appendix K 28$29 Fomu bya madai ya posho.
6 Fomu Appendex K/V ya madai ya naului ikiambatana na tiketi Kadi ya mahudhurio hospitali Sickshhet. FIDIA YA KUUMIA KAZINI. Kanuni (1-5) inaeleza hatua mbalimbali za kufuata pindi mtumishi anapopatwa na matatizo kazini. Mtumishi anayeumia atalipwa fidia sio chini ya shilingin 1,000,000/= na sio zaidi zaidi ya shilingi 10,000,000/= hutemea na hali ya maumivu au kufariki. Kifungu ch 110 kinaelezea kwamba mtumishi anapoumia wakati wa kuteke laza majukumu ya ajira yake anastahili fidia na inamtaka mtumishi kujikinga na hali ambayo inaweza kuathiri afya yake. KUJIENDELEZA Kanuni Na .103 inaeleza kamba ni wajibu wa mwajiri kuwaendeleza watumishi wake. Kutokana na tathimini ya kazi , mwajiri atabainisha mahitaji ya kuendeleza watumishi.
7 Watumishi ni lazima wajiendeleze katika fani kwa lengo la kuboresha ufanisi. Kuandaa mpango kazi wa mafunzo ka watumishi. -Vitendo vyovote vinavyopingana na utaratibu za kiutumishi -Uzembe unaomgharimu mwajiri -kukiuka maadili ya kazi ya ualimu(ya UTUMISHI wa umma) Adhabu zake -kufukuzwa kazi bila UTUMISHI . 4 -kufukuzwa kazi na UTUMISHI -kushushwa cheo. -kushushwa mshahara si chini ya kiwango ulichoanzia kazi -kulipa gharama au sehemu ya gharama kwa upotevu au uharibifu uliotokana na uzembe -karipio -Onyo -Kusimamishwa nyongeza ya mshahara. KUTOENDELEA NA MAJUKUMU KWA KUPUMNZISHWA Mtumishi anapumzishwa bila kusimamishwa kazi na bila kuathiri maslahi lake ni kuzuia kosa lisiendelee kutendeka wakati wa uchunguzi wa awali ukifanyika,(kanuni ) KUSIMAMISHWA KAZI Mtumishi husimamishwa kazi na kupewa Hati ya hii ni baada ya Mamlaka ya nidhamu kuridhika kuwa kuna tuhuma za ukweli dhidi ya mtumishi husika.
8 (kanuni 38) KUREKEBISHA MASHTAKA Mamlaka ya nidhamu inaruhusiwa kurekebisha mashtaka yasiyo sahihi ndani ya siku zisizozidi 30 tangu Mshtakiwa alipopewa mashtaka ya awali(kanuni ya 38(3) ) NUSU MSHAHARA. Mtumishi aliyesimamishwa kazi anastahili nusu mshahara wake wa mwezi tu kwa kipindi chote alichosimamishwa mtumishi husika hatapatikanana hatia na hivyo kutofukuzwa kazi au kutopewa adhabu yoyote atalipwa nusu mshahara wake ambao hakulipwa wakati aliposimamishwa kazi lakini ameadhibiwa kwa adhabu nyingine, atalipwa robo ya mshahara wake. (kanuni ya 38-2,5 na 6.) KUONDOKA KITUONI MTUMISHI ALIYESIMAMISHWA KAZI. Mtumishi aliye simamishwa kazi haruhusiwi kuondoka kituoni bila kuruhusiwa kwa maandishi na mamlaka yake ya nidhamu kanuna ya 38 (7) ATHARI ZA KUFUKUZWA KAZI Mtumishi akifukuzwa kazi hupoteza haki zake.
9 Hata hivyo mtumishi husika atalipwa pensheni ya mkupuo iwapo wakati huo alistahili pensheni ya kila , mtumishi aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai yanayo husu rushwa au hujuma,atapoteza haki au madai yake yote.(Kanuni ya ) MTUMISHI ANAPOKABILIWA NA KESI YA JINAI. Mtumishi husika atasimamishwa kazi hadi kesi husika za kinidhamu hazitachukuliwa au kuendelezwa dhidi na maelekezo yote yako kwenye kanuni ya 50 na 51 RUFAA 5 Mtuhumiwa atapewa haki yake ya kukata rufaa kwenye MAMLAKA SAHIHI na MUDA MUAFAKA. Rufaa kwa walimu imeelezwa kwenye kanuni Na 126 (1 hadi 3) ya kanuni za mtumishi wa umma,2003. Muda wa kuwasilisha rufaa ni siku 45 tangu tarehe aliyopata uamuzi w\a awali na rufaa ni lazima iwe kwa maandishi na inayowekwa wazi sababu za kupinga uamuzi na anapaswa kuipatia mamlaka yake ya nidhamu nakala ya hakufanya hivyo mamlaka ya nidhamu inapaswa kuwasilisha taarifa ya mwenendo wa hatua za nidhamu na maelezo/utetezi wake dhidi ya sababu za rufaa ndani ya siku 14, nakala kwa Mrufani (kanuni 61) KUAJIRIWA UPYA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Walimu wanaruhusiwa kuajiriwa upya katika UTUMISHI wa umma baada ya kutumikia adhabu kwa muda usiopunngua miezi (d) ya kanuni za UTUMISHI wa Umma 2003 imeelekeza kuwa kamati ya mkoa inatoa uamuzi juu ya suala hilo.
10 Uamuzi wa kamati ya mkoa utawasilishawa kwa katibu wa tume kwa ajili ya kuwaombea kibali cha kuajiriwa upya walimu hao kwa katibu Mkuu kiongozi. HITIMISHO Lengo la mada hizi ni kuwaelimisha na kuwajengea uwezo Waratibu Elimu Kata , Walimu wakuu wa shule /Wakuu wa wa shule na Walimu wote kwa ujumla katika kutekeleza majukumu mbalimbali katika maeneo yenu ya kazi kwa kuzingatia sheria ,kanuni,taratibu na miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali katika kuboresha UTUMISHI wa umma, mara kwa mara. POSHO YA KUJIKIMU Kanunui ya 13 inaeleza kwamba Mtumishi wa Umma aliye ajiliwa anastahili kupewa:- Nauli yeye na mkewe/mumewe,watoto na wategemezi wasiozidi 4 Posho ya kujikimu kwa kiwango na idadi ya siku itakapokuwa imeandaliwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais menejiment ya UTUMISHI wa Umma.