Example: confidence

Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya …

Mwongozo kw a Lugha Rahisi wa Sera yaMaendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vy amavya Ushirika Tanzania BaraUmetayarishwa na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania kwa Kushirikiana na Idara ya Maendeleo ya Ushirika - Septemba 2006 SHIRIKISHO LA VYAMA VYA USHIRIKA TANZANIALINGEPENDA KUPA TA MAONI YAKO KU HUSU KIJITABU HIKI. TAFADHALI ANDIKA KW A:Katibu Mtendaji,Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania,Ghorofa ya 9, Jengo la UshirikaMtaa wa 2567 Dar es SalaamSimu: 255 (0) 22 218 4081 5 Nukushi: 255 (0) 22 2184081 Barua pepe: ZAIDIKwa taarifa zaidi kuhusu sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza vyama vya ushirika ku na nyaraka ku u tatu za kusoma: Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 20 ya 2003 Kanuni za Vyama vya Ushirika 2004 Sera ya Maendeleo ya Ushirika 2002 Inawezekana ku pata nyaraka hizi kutoka kwa:Ofisa Ushirika wa Wilaya wako;- Mrajis Msaidizi wa Mkoa wako;- Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (anwani ya hapo juu); auMrajis wa Vyama Vya Ushirika,Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, 201, LA VYAMA VYA USHIRIKA TANZANIALINGEPENDA KUPA TA MAONI YAKO KU HUSU KIJITABU HIKI.

USHIRIKA NA MAENDELEO TANZANIA Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania Bara Umetayarishwa na Shirikisho la ...

Information

Domain:

Source:

Link to this page:

Please notify us if you found a problem with this document:

Other abuse

Transcription of Mwongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera ya Maendeleo ya …

1 Mwongozo kw a Lugha Rahisi wa Sera yaMaendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vy amavya Ushirika Tanzania BaraUmetayarishwa na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania kwa Kushirikiana na Idara ya Maendeleo ya Ushirika - Septemba 2006 SHIRIKISHO LA VYAMA VYA USHIRIKA TANZANIALINGEPENDA KUPA TA MAONI YAKO KU HUSU KIJITABU HIKI. TAFADHALI ANDIKA KW A:Katibu Mtendaji,Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania,Ghorofa ya 9, Jengo la UshirikaMtaa wa 2567 Dar es SalaamSimu: 255 (0) 22 218 4081 5 Nukushi: 255 (0) 22 2184081 Barua pepe: ZAIDIKwa taarifa zaidi kuhusu sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza vyama vya ushirika ku na nyaraka ku u tatu za kusoma: Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 20 ya 2003 Kanuni za Vyama vya Ushirika 2004 Sera ya Maendeleo ya Ushirika 2002 Inawezekana ku pata nyaraka hizi kutoka kwa:Ofisa Ushirika wa Wilaya wako;- Mrajis Msaidizi wa Mkoa wako;- Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (anwani ya hapo juu); auMrajis wa Vyama Vya Ushirika,Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, 201, LA VYAMA VYA USHIRIKA TANZANIALINGEPENDA KUPA TA MAONI YAKO KU HUSU KIJITABU HIKI.

2 TAFADHALI ANDIKA KW A:Katibu Mtendaji,Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania,Ghorofa ya 9, Jengo la UshirikaMtaa wa 2567 Dar es SalaamSimu: 255 (0) 22 218 4081 5 Nukushi: 255 (0) 22 2184081 Barua pepe: ZAIDIKwa taarifa zaidi kuhusu sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza vyama vya ushirika ku na nyaraka ku u tatu za kusoma: Sheria ya Vyama vya Ushirika Na. 20 ya 2003 Kanuni za Vyama vya Ushirika 2004 Sera ya Maendeleo ya Ushirika 2002 Inawezekana ku pata nyaraka hizi kutoka kwa:Ofisa Ushirika wa Wilaya wako;- Mrajis Msaidizi wa Mkoa wako;- Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (anwani ya hapo juu); auMrajis wa Vyama Vya Ushirika,Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, 201, kw a Lugha Rahisi wa Sera yaMaendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vy amavya Ushirika Tanzania BaraUSHIRIKA NA Maendeleo TANZANIAM wongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera yaMaendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania BaraUmetayarishwa na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania kwa Kushirikiana na Idara ya Maendeleo ya Ushirika - Septemba 2006 USHIRIKA NA Maendeleo TANZANIAM wongozo kwa Lugha Rahisi wa Sera yaMaendeleo ya Ushirika na Sheria ya Vyama vya Ushirika Tanzania BaraUmetayarishwa na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania kwa Kushirikiana na Idara ya Maendeleo ya Ushirika - Septemba 2006 USHIRIKA NA Maendeleo TANZANIAi YALIYOMOD ibaji.

3 IiSera ya Maendeleo ya Ushirika 1 Ushirika ni nini?.. 1 Kwa nini tunahitaji sera ya ushirika?.. 1 Serikali imedhamiria kukuza aina gani ya ushirika?..2 Ushirika na 3 Muundo wa 3 Nani watakaoongoza vyama vya Ushirika ?.. 4 Elimu na Mafunzo ya 5 Asasi za kiushirika za 6 Wajibu wa 7 Sheria ya Vyama vya Ushirika 2003 na Kanuni za Vyamavya Ushirika 8 Ni aina gani ya vyama vitakavyosajiliwa?..8 Chama cha msingi kitaanzishwaje?.. 9 Vyama vya Ushirika vya 10 Haki na Wajibu wa 14 Dhima za 15 Usimamiaji wa Vyama vya 16 Kazi za Vyama 18 Shirikisho la Vyama vya 18 Taarifa zaidi na anwani 20 iiUSHIRIKA NA Maendeleo TANZANIA DIBAJI Vyama vya Ushirika vimekuwa sehemu muhimu ya Maendeleo ya Tanzania kwa miaka 75.

4 Ni kweli kwamba vimepata mafanikio mengi na matatizo, katika kipindi chote hicho hakuna taasisi nyingine yoyote zaidi ya Ushirika iliyowaunganisha pamoja watu wengi katika azma na lengo linalofanana..Baada ya Azimio la Arusha, vyama vya ushirika vilipewa kipaumbele katika kujenga moyo wa kujitegemea. Hata hivyo, kufuatia kuanzishwa kwa mfumo wa soko huru, vyama vya ushirika vimejitahidi kushindana na sekta binafsi na vingi havikuweza kuwapa wanachama wake huduma wanazozihitaji. Serikali imelishughulikia tatizo hili kwa kutunga Sera ya Maendeleo ya Ushirika (2002) ili kuvisaidia vyama vya ushirika kurudisha tena umuhimu wake katika maisha ya watu kiuchumi na kijamii. Sera inaeleza jinsi serikali inavyopanga kuwezesha Maendeleo ya eneo maalum la uchumi kama vile kilimo, elimu au ushirika.

5 Wakati ambapo sera zinatueleza mipango ya serikali ilivyo, sheria zinahitajika kuwezesha mipango hiyo kutekelezeka. Sheria zinaeleza jinsi ambavyo vyama kama vile vya ushirika vinavyopaswa kutenda katika njia ya kidemokrasia na ya kibiashara. Sheria: Zinataja haki na wajibu wa taasisi na watu binafsi. Zinaeleza mfumo wa utekelezaji wa maagizo. Zinaongoza mahakama katika kutekelezaji hiyo, sheria zinawapa wadau haki na majukumu. Sera zinatoa tu Mwongozo wa jinsi gani wadau wanavyoweza hiki kinaeleza hoja kuu za Sera ya Maendeleo ya Ushirika1 na Sheria2 na Kanuni3 ambazo zimetungwa ili kuifanya sera hiyo itumike. Kimebuniwa kuzisaidia jumuiya kufanya maamuzi kuhusu Maendeleo ya ushirika wao wenyewe. Aidha, kitawezesha jamii kuzungumza na wawakilishi wao waliowachagua kuhusu jinsi ambavyo serikali inapaswa kuzifanya sheria katika siku zijazo zitakazowasaidia kuwa na ushirika unaofanya kazi vizuri kwa wale wanaoamua kuwa ni kina nani?

6 Ni wale wote wenye nafasi katika sera, ikiwa ni pamoja na wale ambao: wanaathiriwa na sera wanatekeleza sera wanatoa fedha ili kusaidia sera1 Sera ya Maendeleo ya Ushirika ya 2002 2 Sheria ya Vyama vya Ushirika 2003 za Chama cha Ushirika 2004 USHIRIKA NA Maendeleo TANZANIA1 SERA YA Maendeleo YA USHIRIKA Ushirika ni nini?Ushirika ni muungano wa watu ambao wanafanya kazi pamoja kwa hiari ili kufanikisha mahitaji yao ya kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kupitia shughuli ya biashara inayomilikiwa kwa pamoja na kudhibitiwa kidemokrasia. Ushirika unazingatia maadili ya kujisaidia mwenyewe, jukumu binafsi, demokrasia, usawa na mshikamano. Wanachama wa ushirika wanaamini katika uaminifu, uwazi, uwajibikaji kwa jamii na kuwajali nini tunahitaji sera ya ushirika?

7 Serikali na wadau wameamua kuunda sera na sheria mpya kwa ajili ya Maendeleo ya ushirika kwa sababu: Vyama vingi vya ushirika havijafanikiwa katika uchumi wa soko huru. Matokeo yake vimeshindwa kutoa huduma za pembejeo, mikopo na masoko ya mazao kwa wanachama. Serikali inauona ushirika kuwa ni muhimu katika kufanikisha malengo ya Maendeleo . Watu wanaofanya kazi pamoja wanaweza kutatua matatizo ambayo hayawezi kutatuliwa na mtu mmoja mmoja. Sera na Sheria za awali hazikushughulikia ipasavyo baadhi ya masuala ambayo ni muhimu kwa ushirika unaofanya kazi katika soko huru kama vile nafasi ya mwanawake katika Ushirika, kutunza mazingira na wajibu walionao wadau mbalimbali katika Maendeleo ya binafsi hawajaziba pengo lililoachwa na kuanguka kwa ushirika.

8 Kwa hiyo, watu wanapaswa kuungana ili kutoa huduma kwa ajili ya jumuiya NA Maendeleo TANZANIAS erikali imedhamiria kukuza aina gani ya ushirika?Serikali inataka ushirika nchini Tanzania ufanye kazi kwa mujibu wa maadili yanayotumika katika nchi nyingi. Maadili hayo yanaitwa Kanuni za Kimataifa za Vyama vya Ushirika:KanuniMaanaUanachama wa Hiari na ulio waziUshirika uko wazi kwa watu wote walio tayari kukubali majukumu ya uanachama bila ya aina yoyote ya na Udhibiti wa kidemokrasiaWanachama wote wana haki sawa ya kupiga kura (mwanachama mmoja, kura moja). Ushiriki wa wanachama katika shughuli za kiuchumiWanachama wanachangia kwa usawa na kwa kidemokrasia wanadhibiti mtaji wa ushirika wao. Wanachama wanaweza kugawa ziada kwa moja au yote ya madhumuni yafuatayo: kuwekeza katika ushirika wao au kuwanufaisha wanachama kwa uwiano wa hisa zao katika na kujitegemeaVyama vya Ushirika ni vyombo huru na vinavyojitegemea chini ya uongozi na usimamizi wa wanachama.

9 Endapo ushirika utafanya makubaliano na asasi nyingine, ikiwa ni pamoja na serikali, au kutafuta fedha nje ya ushirika, unafanya hivyo endapo tu wanachama wote wameamua kidemokrasia kuwa hivyo ndivyo wanavyotaka. Pia makubaliano yoyote lazima yahakikishe kuwa ushirika unabakia kuwa , mafunzo na taarifaUshirika unatoa elimu na mafunzo kwa wanachama wake na wafanyakazi ili waweze kusaidia Maendeleo ya ushirika umma mzima kuhusu faida za na sheria ndogo za vyama vyote vya ushirika zifuate Kanuni za NA Maendeleo TANZANIA3 Ushirika miongoni mwa Vyama vya UshirikaUshirika unaimarisha vyama vyote vya ushirika kwa kushirikiana kupitia mitandao ya wananchi, taifa, kanda na ya kuijali JamiiUshirika unafanya kazi kwa ajili ya Maendeleo ya uchumi, jamii na utamaduni wa wanachama wake na jumuiya nzima.

10 Pia unajali kutunza mazingira na vizazi na MaendeleoKwa miaka michache serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza Mkakati wa Kupunguza Umaskini. Mchakato huu unatambua umuhimu wa asasi zinazowaunganisha pamoja watu maskini, kama ushirika. Kama sehemu ya programu ya kupunguza umaskini, serikali inataka kuwahamasisha watu kuunda ushirika ili kuboresha matarajio yao ya ingependa kuona ushirika unapanuka katika sekta mbalimbali, kama vile fedha, nyumba, viwanda, madini, mifugo, uvuvi, ufugaji nyuki na usafirishaji. Ili watu wengi iwezekanavyo waweze kuhusishwa katika chama cha ushirika, serikali: Itahakikisha kwamba wanawake wanahamasishwa kuwa wanachama kamili wa ushirika. Itasaidia vikundi vyenye biashara ndogo ndogo vinavyohusisha vijana, wanawake, wahitimu wa vyuo wasio na ajira na walemavu kujiunga kwenye wa UshirikaKatika kipindi kilichopita zimekuwepo na ngazi nyingi za ushirika nchini ikiwa ni pamoja na vyama vya msingi, vyama vikuu, vyama vikuu kilele na Shirikisho la Vyama vya Ushirika.


Related search queries